sw_2sa_text_reg/21/15.txt

1 line
504 B
Plaintext

\v 15 Kisha Wafilisti wakaenda tena katika vita na Israeli. Hivyo Daudi na jeshi lake wakashuka na kupigana na Wafilisti. Akiwa vitani Daudi akachoshwa na vita. \v 16 Ishbibenobu, wa uzao wa Warefai, ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa shekeli mia tatu na alikuwa na upanga mpya, alitaka kumuua Daudi. \v 17 Lakini Abishai mwana wa Seruya akamuokoa Daudi, akampiga Mfilisti na kumuua. Ndipo watu wa Daudi wakamuapia, kusema, "Hautakwenda vitani pamoja nasi tena usije ukaizima taa ya Israeli."