sw_2sa_text_reg/21/10.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 10 Kisha Rispa, binti Aiya, akachukua nguo ya gunia na akajitanda mwenyewe juu ya mlima kando ya miili ya waliokufa tangu mwanzo wa mavuno mpaka wakati mvua ilipoanza kunyesha. Hakuruhusu ndege wa angani kutua juu ya miili mchana wala hayawani wa mwituni wakati wa usiku. \v 11 Daudi akaambiwa alichokifanya Rispa, binti Aiya, suria wa Sauli.