sw_2sa_text_reg/21/02.txt

1 line
384 B
Plaintext

\v 2 Basi Wagibeoni hawakuwa uzao wa Israeli; walikuwa ni masalia ya Waamori. Watu wa Israeli walikuwa wameapa kutowauwa, lakini Sauli alitaka kuwaangamiza wote kwa husuda kwa ajili ya watu wa Israeli na Yuda. \v 3 Ndipo Daudi alipowaita pamoja Wagibeoni na kuwaambia, "Niwafanyie nini kwa ajili ya upatanisho? Ili kwamba mweze kuwabariki watu wa Yahwe wanaorithi wema na ahadi zake?"