sw_2sa_text_reg/20/23.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 23 Yoabu alikuwa juu ya jeshi lote la Israeli na Benaya mwana wa Yehoiada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi. \v 24 Adoramu alikuwa juu ya watu waliofanya kazi ya kulazimishwa na Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mkumbushaji. \v 25 Sheva alikuwa mwandishi, na Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. \v 26 Ira wa Yairi alikuwa kuhani wa Daudi.