sw_2sa_text_reg/20/17.txt

1 line
475 B
Plaintext

\v 17 Hivyo Yoabu akakaribia, mwanamke akamwambia, "Je wewe ni Yoabu? Akajibu, "ni mimi." mwanamke akamwambia, "Sikiliza maneno ya mtumishi wako." Akajibu, "Nasikiliza." \v 18 Ndipo aliposema,"Hapo zamani ilisemwa, 'Bila shaka tafuteni ushauri huko Abeli,' na kwamba ushauri huo utamaliza maneno. \v 19 Sisi ni mji ulio miongoni mwa miji yenye nguvu na aminifu sana katika Israeli. Mnataka kuharibu mji ambao ni mama katika Israeli. Kwa nini unataka kuumeza urithi wa Yahwe?"