sw_2sa_text_reg/19/24.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 24 Kisha Mefiboshethi mwana wa Sauli akashuka ili kumlaki mfalme. Hakuwa ameivalisha miguu yake wala kunyoa ndevu zake wala kufua nguo zake tangu siku mfalme alipoondoka hata siku aliporudi kwa amani. \v 25 Na hivyo alipotoka Yerusalemu ili kumlaki mfalme, mfalme akamwambia, "Mefiboshethi Kwa nini haukwenda pamoja nami?"