sw_2sa_text_reg/19/09.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 9 Watu wote wakahojiana wao kwa wao katika jamaa zote za Israeli wakisema, "Mfalme alituokoa na mkono wa adui zetu. Alitukomboa na mkono wa Wafilisti lakini sasa ameikimbia nchi mbele ya Absalomu. \v 10 Na Absalomu tuliyemtia mafuta juu yetu amekufa vitani. Hivyo kwa nini hatuongei juu ya kumrudisha mfalme tena?"