sw_2sa_text_reg/18/26.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 26 Kisha mlinzi akaona mtu mwingine aliyekuwa anakimbia, naye akamwambia bawabu; kusema, "Tazama, kuna mtu mwingine anakimbia peke yake." Mfalme akasema, "Yeye pia analeta habari." \v 27 Ndipo mlinzi akasema, Nadhani kukimbia kwake mtu aliye mbele ni kama kukimbia kwake Ahimaasi mwana wa Sadoki." Mfalme akasema, "Yeye ni mtu mwema naye anakuja na habari njema."