sw_2sa_text_reg/18/19.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 19 Kisha Ahimaasi mwana wa Sadoki akasema, "Niruhusu niende kwa mfalme na habari njema, jinsi Yahwe alivyomuokoa kutoka mkono wa adui zake." \v 20 Yoabu akamjibu, "Wewe hautakuwa mchukua habari leo; utafanya hivyo siku nyingine. Leo hautachukua habari yoyote kwa maana mwana wa mfalme ameuawa."