sw_2sa_text_reg/18/16.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 16 Kisha Yoabu akapiga tarumbeta na jeshi likarudi kutoka kuwafuatia Israeli, hivyo Yoabu akalirudisha jeshi. \v 17 Wakamchukua Absalomu na kumtupa katika shimo kubwa msituni; wakauzika mwili wake chini ya rundo kubwa la mawe, wakati Israeli wote walikimbia kila mtu hemani mwake.