sw_2sa_text_reg/18/12.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 12 Yule mtu akamjibu Yoabu, "Hata kama ningepewa shekeli elfu za fedha hata hivyo nisingeinua mkono wangu juu ya mwana wa mfalme, kwa maana sisi sote tulimsikia mfalme akiwaagiza wewe, Abishai na Itai akisema, mtu asimguse huyo kijana Absalomu.' \v 13 Ikiwa ningehatarisha maisha yangu kwa uongo(na hakuna jambo linalofichika kwa mfalme), ungejitenga nami."