sw_2sa_text_reg/18/05.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 5 Mfalme akawaagiza Yoabu, Abishai, na Itai akisema, "Mmtendee huyo kijana, Absalomu, kwa upole kwa ajili yangu." Watu wote wakasikia jinsi mfalme alivyowaagiza maakida kuhusu Absalomu.