sw_2sa_text_reg/17/24.txt

1 line
414 B
Plaintext

\v 24 Ndipo Daudi akaja Mahanaimu. Lakini Absalomu yeye akavuka Yordani yeye pamoja na watu wote wa Israeli waliokuwa pamoja naye. \v 25 Absalomu alikuwa amemweka Amasa juu ya jeshi badala ya Yoabu. Naye huyo Amasa alikuwa mwana wa Yetheri Mwishmaeli, aliyekuwa ameenda kwa Abigaili, aliyekuwa binti wa Nahashi na dada wa Seruya, mamaye Yoabu. \v 26 Kisha Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi.