sw_2sa_text_reg/17/19.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 19 Mke wa mtu huyo akachukua kifuniko na kukikufunika kwenye mlango wa kisima kisha akaanika nafaka juu yake, hivyo hakuna aliyejua kwamba Yonathani na Ahimaasi walikuwa kisimani. \v 20 Watu wa Absalomu wakaja kwa mwanamke na kumuuliza, "Ahimaasi na Yonathani wako wapi?" Mwanamke akawaambia, "Wamevuka mto." Hivyo baada ya kuwatafuta bila kuwaona, wakarejea Yerusalemu.