sw_2sa_text_reg/17/15.txt

1 line
378 B
Plaintext

\v 15 Kisha Hushai akawaambia Sadoki na Abiathari makuhani, "Ahithofeli alimshauri Absalomu na wazee wa Israeli hivi na hivi, lakini mimi nimeshauri vinginevyo. \v 16 Sasa basi, nendeni haraka na mmpashe habari Daudi kusema, 'Usipige kambi usiku huu katika vivuko vya Araba, lakini kwa namna yoyote vukeni, tofauti na hapo mfalme atamezwa pamoja na watu wote walio pamoja naye."