sw_2sa_text_reg/16/19.txt

1 line
156 B
Plaintext

\v 19 Kwani ni nani ninayepaswa kumtumikia? Je sipaswi kutumika mbele za mwana wake? kama nilivyotumika mbele za baba yako ndivyo nitakavyofanya mbele zako"