sw_2sa_text_reg/16/17.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 17 Absalomu akamwambia Hushai, "Je huu ndiyo utiifu wako kwa rafiki yako? Kwa nini haukwenda pamoja naye?" \v 18 Hushai akamwambia Absalomu, "Hapana! badala yake, yule ambaye Yahwe, watu hawa na watu wote wa Israeli wamemchagua huyo ndiye nitakaye kuwa upande wake na ndiye nitakaye kaa naye.