sw_2sa_text_reg/16/15.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 15 Absalomu na watu wote wa Israeli waliokuwa pamoja naye wakaja Yerusalemu na Ahithofeli alikuwa pamoja naye. \v 16 Ikawa Hushai Mwarki, rafiki yake Daudi, akaja kwa Absalomu, naye akamwambia Absalomu, "Mfalme aishi daima! mfalme aishi daima.