sw_2sa_text_reg/15/05.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 5 Hivyo ikawa kila mtu aliyekuja kumheshimu Absalomu yeye angenyosha mkono na kumshika na kumbusu. \v 6 Absalomu alifanya hivi kwa Israeli wote waliokuja kwa mfalme kwa ajili ya hukumu. Hivyo Absalomu akaipotosha mioyo ya watu wa Israeli.