sw_2sa_text_reg/15/03.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 3 Hivyo Absalomu angemwambia, "Tazama, shitaka lako ni jema na la haki, lakini hakuna aliyepewa mamlaka na mfalme kusikiliza shitaka lako. \v 4 Absalomu uongeza, "Natamani kwamba ningefanywa mwamuzi ndani ya nchi ili kwamba kila mtu aliye na shitaka angeweza kuja kwangu nami ningempa haki.