sw_2sa_text_reg/14/10.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 10 Mfalme akasema, "Yeyote atakayekwambia neno umlete kwangu, naye hatakugusa tena." \v 11 Kisha mwanamke akasema, "Tafadhali mfalme amkumbuke Yahwe Mungu wake, ili kwamba mlipa kisasi cha damu asiaribu zaidi, ili kwamba wasimwangamize mwanangu." Mfalme akajibu, "Kama Mungu aishivyo, hakuna hata unywele mmoja wa mwanao utaanguka chini."