sw_2sa_text_reg/14/07.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 7 Na sasa ukoo wote umeinuka juu ya mtumishi wako, wanasema, 'Mtoe aliyempiga nduguye, ili tumuue kulipa uhai wa nduguye aliyeuawa.' Na hivyo watamwangamiza mrithi. Hivyo watalizima kaa liwakalo nililobakisha, hata kumwondolea mme wangu jina na uzao juu ya uso wa nchi."