sw_2sa_text_reg/13/30.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 30 Hata ikawa wakati wakiwa njiani habari zikafika kwa Daudi kusema, "Absalomu ameua wana wote wa mfalme na hakuna hata mmoja aliyesalia." \v 31 Kisha mfalme akainuka na kurarua mavazi yake na kujilaza juu ya sakafu; watumishi wake wote wakasimama karibu naye mavazi yao yameraruriwa.