sw_2sa_text_reg/13/25.txt

1 line
324 B
Plaintext

\v 25 Mfalme akamjibu Absalomu, "hapana mwanangu, tusiende sisi sote kwani tutakuwa mzigo kwako." Absalomu akamsihi mfalme, lakini yeye asikubali kwenda, ila alimbariki Absalomu. \v 26 Kisha Absalomu akasema, "kama sivyo, basi tafadhari mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi." Mfalme akamuliza, "Kwa nini Amnoni aende nanyi?"