sw_2sa_text_reg/13/18.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 18 Hivyo mtumishi wake akamtoa na kufunga mlango. Tamari alikuwa amevaa vazi lililopambwa kwa uzuri kwani ndivyo binti za wafalme waliobikra walikuwa wakivaa. \v 19 Tamari akaweka majivu juu ya kichwa chake na akairarua vazi lake lililopambwa kwa uzuri. Akaweka mikono kichwani mwake na akaenda zake huku akilia kwa sauti.