sw_2sa_text_reg/13/15.txt

1 line
403 B
Plaintext

\v 15 Kisha Amnoni akamchukia Tamari kwa chuki kuu. Akamchukia zaidi ya jinsi alivyokuwa amemtamani. Amnoni akamwambia, "Inuka na uondoke." \v 16 Lakini yeye akamjibu, "Hapana! kwa maana uovu wa kunifanya niondoke ni mmbaya zaidi ya kile ulichonitenda!" Lakini Amnoni hakumsikiliza. \v 17 Badala yake, akamwita mtumishi wake na akasema, "Mwondoe mwanamke huyu mbele yangu, na uufunge mlango nyuma yake."