sw_2sa_text_reg/13/03.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 3 Lakini Amnoni alikuwa na rafiki jina lake Yehonadabu mwana wa Shama, nduguye Daudi. \v 4 Yehonadabu alikuwa mtu mwerevu sana. Akamwambia Amnoni, "Kwa nini, mwana wa mfalme, unadhoofika kila siku? Kwa nini uniambii? Ndipo Amnoni akamjibu, "Nampenda Tamari, dada yake Absalomu ndugu yangu."