sw_2sa_text_reg/11/24.txt

1 line
402 B
Plaintext

\v 24 Na wapiga mishale wao wakawarushia watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watumishi wa mfalme wameuawa, na mtumishi wako Uria mhiti pia ameuawa." \v 25 Kisha Daudi akamwambia mjumbe, "Mwambie hivi Yoabu, 'Usiruhusu jambo hili likuhuzunishe, kwa maana upanga huangamiza huyu kama uangamizavyo na mwingine. Vifanye vita vyako kuwa vyenye nguvu zaidi dhidi ya mji, na uuteke.' Mtie moyo Yoabu."