sw_2sa_text_reg/11/16.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 16 Hivyo Yoabu alipoona mji ukizingirwa, alimuweka Uria katika sehemu aliyojua askari adui wenye nguvu wangekuwa wakipigana. \v 17 Wakati watu wa mji walipotoka na kupigana dhidi ya jeshi la Yoabu, baadhi ya askari wa Daudi wakaanguka, na Uria Mhiti pia akauwawa.