sw_2sa_text_reg/09/01.txt

1 line
298 B
Plaintext

\c 9 \v 1 Daudi akasema, "Je kuna yeyote aliyesalia wa familia ya Sauli ambaye naweza kumuonyesha kwa fadhiri kwa ajili ya Yonathani? \v 2 Alikuwepo mtumishi katika familia ya Sauli jina lake Siba, akaitwa kwa Daudi. Mfalme akamuuliza, "Je wewe ndiye Siba?" Akajibu, "Mimi ni mtumishi wako, ndiye."