sw_2sa_text_reg/08/11.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 11 Mfalme Daudi akaviweka wakfu vitu hivi kwa ajili ya Yahwe, pamoja na fedha na dhahabu kutoka katika mataifa yote aliyokuwa ameyashinda- \v 12 kutoka Shamu, Moabu, Waamoni, Wafilisti, Waamaleki, pamoja na nyara zote alizoziteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.