sw_2sa_text_reg/07/01.txt

1 line
272 B
Plaintext

\c 7 \v 1 Ikawa mfalme alipokuwa amekwisha kukaa katika nyumba yake, na baada ya Yahwe kuwa amemstarehesha kutokana na adui zake wote waliomzunguka, \v 2 mfalme akamwambia nabii Nathani, "Tazama, mimi ninaishi katika nyumba ya mierezi, lakini sanduku la Mungu lipo hemani.