sw_2sa_text_reg/05/24.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 24 Wakati utakaposikia sauti za mwendo katika upepo uvumao juu ya miti ya miforosadi, hapo ushambulie kwa nguvu. Fanya hivi kwa kuwa Yahwe atatangulia mbele yako kulishambulia jeshi la Wafilisti." \v 25 Hivyo Daudi akafanya kama Yahwe alivyomuamuru. Akawauwa wafilisti njiani mwote toka Geba hadi Gezeri.