sw_2sa_text_reg/05/22.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 22 Kisha Wafilisti wakaja kwa mara nyingine tena na kujieneza zaidi katika bonde la Mrefai. \v 23 Hivyo Daudi akatafuta msaada tena kutoka kwa Yahweh, naye Yahweh akamwambia, "Usiwashambulie kwa mbele, lakini uwazunguke kwa nyuma na uwaendee kupitia miti ya miforosadi.