sw_2sa_text_reg/05/17.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 17 Basi wafilisti waliposikia kwamba Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme juu ya Israeli, wakaenda wote kumtafuta. Daudi aliposikia hilo akashuka ngomeni. \v 18 Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kuenea katika bonde la Mrefai.