sw_2sa_text_reg/05/13.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 13 Baada ya Daudi kuondoka Hebroni na kwenda Yerusalemu, akajitwalia wake na masuria wengi huko Yerusalemu, na wana na binti wengi walizaliwa kwake. \v 14 Haya ndiyo majina ya wanawe waliozaliwa kwake huko Yerusalemu: Shamua, Shobabu, Nathani, Selemani, \v 15 Ibhari, Elishua, Nefegi, Yafia, \v 16 Elishama, Eliada na Elifeleti.