sw_2sa_text_reg/05/06.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 6 Mfalme na watu wake wakaenda Yerusalemu kupigana na Wayebusi, waliokuwa wenyeji wa nchi. Wakamwambia Daudi, "Hautaweza kuja hapa kwani hata vipofu na vilema waweza kukuzuia kuingia. Daudi hawezi kuja hapa." \v 7 Lakini, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, ambayo sasa ni mji wa Daudi.