sw_2sa_text_reg/05/01.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 1 Kisha kabila zote za Israeli wakamwendea mfalme huko Hebroni nao wakasema, "Tazama, sisi ni nyama na mifupa yako. \v 2 Kipindi kilichopita, Sauli alipokuwa mfalme juu yetu, ni wewe uliyeliongoza jeshi la Waisraeli. Yahwe akakwambia, 'Utawachunga watu wangu Israeli, na utakuwa mtawala juu ya Israeli."