sw_2sa_text_reg/03/37.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 37 Hivyo watu wote na Israeli yote wakatambua siku hiyo kwamba haikuwa nia ya mfalme Abneri mwana wa Neri afe. \v 38 Mfalme akawaambia watumishi wake, "je hamjui kuwa mtu mkuu ameanguka leo hii katika Israeli? \v 39 Nami leo nimedhoofika, japokuwa nimetiwa mafuta kuwa mfalme. Watu hawa, wana wa Seruya ni hatari sana kwangu. Yahwe na amrudishie muovu kwa kumlipa kwa ajili ya uovu wake kama anavyostahili.