sw_2sa_text_reg/03/35.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 35 Watu wote wakaja kumtaka Daudi ale wakati kungali mchana, lakini Daudi akaapa, "Mungu na anifanyie hivyo, na kuzidi, ikiwa nitaonja mkate au chochote kabla jua halijazama." \v 36 Watu wote wakaiona huzuni ya Daudi, na ikawapendeza, hivyo kila alichokifanya mfalme kikawapendeza.