sw_2sa_text_reg/03/33.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 33 Mfalme akamwomboleza Abneri naye akaimba, "Je ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? \v 34 Mikono yako haikufungwa. Miguu yako haikuwa imefungwa minyororo. Kama mtu aangukavyo mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka." Watu wote wakamlilia zaidi.