sw_2sa_text_reg/03/31.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 31 Daudi akamwambia Yoabu na wote waliokuwa pamoja naye, "Rarueni mavazi yenu, jivikeni nguo za magunia, na muomboleze mbele ya mwili wa Abneri." Na mfalme Daudi akaufuata mwili wa Abneri wakati wa mazishi. \v 32 Wakamzika Abneri huko Hebroni. Mfalme akalia kwa sauti katika kaburi la Abneri, na watu wote pia wakalia.