sw_2sa_text_reg/03/14.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 14 Kisha Daudi akatuma wajumbe kwa Ishboshethi, mwana wa Sauli, kusema, "Nipe Mikali, mke wangu niliyetoa kwa ajili yake govi mia moja za Wafilisti." \v 15 Hivyo Ishboshethi akatuma kwa Mikali na kumchukua kutoka kwa mme wake, Paltieli mwana wa Laishi. \v 16 Mme wake akafuatana naye, huku akilia, akaendelea hadi Bahurimu. Kisha Abneri akamwambia, "basi sasa rudi nyumbani." Hivyo akarudi.