sw_2sa_text_reg/03/12.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 12 Kisha Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi kusema, "Nchi hii ni ya nani? Fanya agano nami, nawe utaona kwamba mkono wangu uko nawe, kuiIeta Israeli yote kwako." \v 13 Daudi akajibu, "Vema, nitafanya agano nawe. Lakini neno moja ninalolitaka kutoka kwako ni kwamba hautauona uso wangu usipomleta kwanza Mikali, binti Sauli, unapokuja kuonana nami."