sw_2sa_text_reg/03/01.txt

1 line
180 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Kulikuwa na vita ya mda mrefu kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi. Daudi akaendelea kupata nguvu zaidi, lakini nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika na kudhoofika.