\v 18 Wana watatu wa Seruya walikuwepo pale: Yoabu, Abishai na Asaheli. \v 19 Asaheli alikuwa mwepesi miguuni kama paa. Akamfuatilia Abneri kwa karibu bila kugeuka upande wowote.