sw_2sa_text_reg/02/14.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 14 Abneri akamwambia Yoabu, "haya, vijana na wainuke na kushindana mbele yetu." Yoabu akajibu, "haya na wainuke." \v 15 Ndipo vijana walipoinuka na kukutana, kumi na wawili kwa ajili ya Banjamini na Ishboshethi mwana wa Sauli, na kumi na wawili kutoka kwa watumishi wa Daudi.