sw_2sa_text_reg/01/25.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 25 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa juu ya mahali pako pa juu. \v 26 Nimesikitishwa sana kwa ajili yako, Yonathani ndugu yangu. Ulikuwa mpendwa wangu sana. Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, ukipita upendo wa wanawake. \v 27 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka na silaha za vita zimeteketea!"