sw_2sa_text_reg/01/14.txt

1 line
419 B
Plaintext

\v 14 Daudi akamwambia, "Kwa nini haukuogopa kumuua mfalme, mtiwa mafuta wa Yahwe kwa mkono wako?" \v 15 Daudi akamwita mmojawapo wa vijana na akamwambia, "Nenda ukamuue." Hivyo kijana huyo akaenda na kumpiga hata ata chini, Mwamaleki akafa. \v 16 Ndipo Daudi akamwambia Mwamaleke aliyekufa, "Damu yako iwe juu ya kichwa chako kwa kuwa kinywa chako kimeshuhudia dhidi yako kusema, Nimemuua mfalme mtiwa mafuta wa Yahwe.