sw_2sa_text_reg/01/08.txt

1 line
421 B
Plaintext

\v 8 Akaniuliza, 'Wewe ni nani?' Nikamjibu, 'Mimi ni Mwamaleki,' \v 9 Akaniambia, Tafadhali simama juu yangu uniue, kwa kuwa shida kubwa imenipata, lakini uhai ungalimo ndani yangu.' \v 10 Hivyo nilisimama juu yake nikamuua, kwa maana nilijua kwamba asingeweza kuishi baada ya kuwa ameanguka. Ndipo nikachukua taji iliyokuwa juu ya kichwa chake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, na nimevileta hapa kwako, bwana wangu."